Rais Samia "Msiajiri Marafiki na Ndugu Zenu Katika Taasisi"



Rais Samia amewakemea Mawaziri na Manaibu Waziri kuajiri Ndugu au Marafiki zao ambao hawana sifa katika Taasisi za Wizara wanazozisimamia kwa kuwa kitendo hicho kinaua Taasisi

Aidha, amewataka kuondoleana 'muhali' kwa maana ya kutooneana haya kuambiana inapotokea mtu amekosea katika utendaji wake

Rais amesema muhali na Ajira za kujuana badala ya kuangalia vigezo zinaua Taasisi, na kuwataka Mawaziri wazingatie hilo

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad