HomeSiasaRais Samia, Ndugai Wakutana IKULU, Wateta Rais Samia, Ndugai Wakutana IKULU, Wateta 0 Udaku Special January 12, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Tags Siasa Newer Older