Rayvanny Ampigia Kampeni Tulia Akson Achukue Uspika wa Bunge


Mwanamuziki na mmiiki wa record label ya Next Level Music ‘NLM’ @rayvanny ,ameonekana kumuunga mkono naibu spika wa bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson' ambae pia ni mbunge wa Mbeya mjini kwenye mbio za kuwania nafasi ya kitu cha spika wa Bunge la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.

Kupitia insta story ake VannyBoy ameshare picha ya mbunge huyo wa mbeya mjini na kuandika;
“WHY NOT”
akimaanisha kwanini isiwezekane kwa mgombea huyo wa kiti cha uspika wa bunge kushinda katika kinyang'anyiro hicho.

C©✍🏾@keviiiy.iam


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad