Wataalamu wanasema Roketi ya Tajiri Elon Musk, SpaceX iliyorushwa 2015 na kushindwa kurudi Duniani iko kwenye mwendo wa kugonga sehemu ya Mwezi (dark side of the Moon) Machi 4, 2022
Rokeri hiyo ilibaki katika Obit baada ya kushindwa kurudi Duniani kwa kuishiwa Mafuta ambapo ilirushwa kuchunguza uwezekano wa Mwanadamu kuishi Sayari nyingine
Hata hivyo, Wanasayansi wamesema hakutakuwa na madhara katika tukio hilo la kugongana na kulipuka.