Salam SK Ataja Msanii Anayetajwa Kujitoa WCB, Sio Rayvanny


Kutoka twitter meneja wa WcB Wasafi @sallam_sk amefichua kwa mara ya kwanza kuhusu uvumi wa msanii aliyetajwa kujiengua kutoka kwenye record label hiyo kubwa nchini kuwa ni mwanamuziki #Hanstone.

Salam amejibu hilo kupitia ukurasa wake wa twitter mara baada ya kuibuka kwa mijadala iliyo ibuliwa na #MkubwaFella kwa kueleza kuwa kuna msanii amejitoa kwenye record label ,ambapo wengi wao walikua wakimuhusisha mwanamuziki @rayvanny .

C©✍🏾@keviiiy.iam

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad