Web

Shamsa Ford Afunguka Kurudiana na Aliyekuwa Mumewe Chid Mapenzi



Kumekuwa na story kuwa penzi la muigizaji Shamsa Ford na aliyekuwa mumewe, Chidy Mapenzi limerudi upya, hii inatokana na ukaribu ambao wawili hao wamekuwa nao kwa siku za hivi karibuni.

Hasa Kupitia Leo tena ya Clouds Fm hii leo tarehe 19 Jan, Shamsa amedai hawajarudiana na Ex wake huyo, lakina na hawakuwa maadui, hivyo hawezi nuniana na aliyekuwa mtu wake ukizangatia wawili hao wote ni wafanya biashara,hivyo wanaweza kutana kwenye mishe zao za kibiashara na wakasaidiana.

Akiongeza kuwa tatizo la Bongo wanataka ukiachana na mtu msiongee na muwe maadui.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad