Ama kwa hakika siasa hapa nchini Kenya huwa na wenyewe jinsi watu wanavyosema. Kila mara nilipowaona wanasiasa wakishinda viti mbalimbali hapa nchini nilidhani ni swala rahisi tu bora kujieleza. Nilifikiria tu wakati unapofanya mkutano wa kisiasa na wakati mwingine umati mkubwa wa watu ujitokeze ilikuwa ishara tosha kwamba ungeshinda kiti kile lakini hii haikuwa kweli kwani umati labda ulikuwa umekuja kula hela zako ama kusikia ajenda zako na mara nyingi wao huwa na mtu wao ambao wangependa kumpigia kura. Ama kwa hakika ulikuwa ni mchezo mchafu na ulio na watu waliouelewa. Mwaka mmoja nilisimama kiti cha ubunge wa kaunti na nikaona maajabu. Nilikopa hela za kampeni na kuwamwagia vijana, wazee na watu mbalimbali kwa ajili ya umaarufu ile niibuke bigwa kwenye debe. Mambo yalienda mrama kwani niliibukia limbukeni na nikawa mkia kwenye kinyang’anyiro hicho. Sikuwa na chochote cha kujivunia kwani nilikua nimepoteza hela pamoja na muda wangu kwa wakati mmoja.
Nilingojea miaka mitano baadae na nikajitoza kwenye kiwanja tayari kuonyesha makali yangu ana mara hii nilidhania eti kwa vile nilimaliza mkia wakati uliopita, raia wenye eneo wadi ile wangenihurumia na kunipa kura. Kampeni zilichacha na hapo nilifahamu fika kwamba mambo yalikuwa mazuri kwani vijana na kina mama waliniahidi uungwaji mkono. Kiongozi wa chama chetu mara hii alibnifadhili kwani ajenda zangu zilienda sambamba na manifesto ya chama. Kila nilipoenda mashinani, watoto kwa vijana kwa wanawake wote waliimba jina langu. Nilifahamu huu ulikuwa ni mwamko mpya kwenye shughuli zangu za kisiasa. Ama kwa hakika ilikuwa ni siku njema ilyoanza kuonekana mapema. Siku ya kupiga kura ilifika na hapo nilifurahishwa na idadi ya watu waliojitokeza. Wakati wa matokeo ulipofika, nilipigwa na butwaa kwani wakati huu pia nilikuwa wa mwisho. Aibu ilinikumba nisijue la kufanya. Kila mtu alinikejeli na kuniita majina matusi. Wengine walisema kuwa nilikua naharibu pesa zangu nikijitoza kwenye ulingo huu wa siasa. Atafutaye hachoki lakini kwa wakati huu nilikuwa nimefikia kwenye ukingo wa swala zima la siasa. Nilipatana na mbunge Fulani ambaye jina lake nalibana. Nilimuuliza siri yake kwenye ulingo wa siasa na akanielezea kwamba daktari Kiwanga alimsaidia akashinda kiti hicho kwa mpigo. Siku iliyofuatia nilienda ofisini kwa daktari Kiwanga kwa ushauri na usaidizi kwani ilikuwa imebaki ni mwaka mwezi mmoja kabla ya uchaguzi mkuu.
Nilirejea kutoka kwa daktari Kiwanga na kurejelea shuguli zangu za kampeni. Mara hii umati mkubwa ulijitokeza kunishangilia kwa kishindo. Jambo hili lilitia wapinzani wangu kiwewe
kwani ilikuwa ni ishara tosha mambo yalikuwa yamebadilika kwa uwezo wa daktari Kiwanga. Mara nyingi wapinzani wangu walitafuta sababu za kuniharibia lakini kwa kweli wimbi nilikuwa nalo kwa wakati ule. Hela nilimwaga kama ilivyokuwa kawaida yangu ili kuwarai raia waweze kunipigia kura. Siku ya kupiga kura ilipowadia nilijihisi kama niliyekuwa na mwamko mpya maishani. Nilipiga kura yangu asubuhi na mapema na nikarejea nyumbani kupumzika huku nikongoja matokea na mara hii nilikuwa na matumaini kuwa ningeibukia mshindi. Wakati wa matokea uliwadia na nilikuwa nimeketi ukumbini nikiwa ange kujua yote yaliyojiri kwenye uchaguzi ule. Matokea yalianza na hapo nilitangazwa kama mshindi na mbunge wa wadi. Nilipokezwa cheti kwa mpigo. Hakuna yeyote aliyepeleka kesi mahakamani kupinga kuchaguliwa kwangu kama mbuge wa wadi ile kwa wakati wowote. Ama kwa hakika daktari Kiwanga alikuwa ameimarisha azma yangu ya kuwa mwanasiasa.
Daktari Kiwanga ana uwezo wa kusuluhisha mizozo ya ndoa,biashara kunawiri, kushinda kesi kotini na mengineyo. Ana uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali kama vile kifua kikuu, kifafa, kifaduro na mengineyo kwa siku tatu pekee.
Waweza kumpata Dkt. Kiwanga kupitia wavuti www.kiwangadoctors.com
barua pepe kiwangadoctors@gmail.com
au piga simu kwa nambari +254769404965.