Steve Nyerere "Mpaka Mwijaku Kachukua Fomu Kuna Haja ya Marekebisho Kepengele Cha Spika Vigezo na Masharti"


Ameandika Steve Nyerere

"Nimekaa naongea Mwenyewe Mpaka @mwijaku_01 Kachukua Fomu ,Si mbaya ila kuna haja ya marekebisho kipengele cha Spika ,Vigezo na Masharti Maana Tunaenda kuchagua MTU ambaye kisheria ni Muhimiri wa Bunge , Na kikatiba ni Muhimiri wa 3 ,.Sasa kila nikitazama Wagombea wanao Miminika najiuliza ni Fashion Au ,..... !!!!!!!!!!!!!!!???????"
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad