Taarifa Zaidi Kuhusu Treni Iliyopata Ajali Ikitokea Arusha



Treni ya Abiria iliyokuwa inatoka Arusha kuelekea Dar es Salaam imepata ajali alfajiri ya Januari 16, 2022 Wilayani Pangani, Tanga na kusababisha kifo kimoja na majeruhi watano

Treni hiyo ilibeba abiria 700 na ilipofika eneo lililopo kati ya Mkalamo na Mvave mabehewa Matano yalipinduka na mabehewa manne kuacha njia likiwemo behewa la Huduma ya Chakula

Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaendelea kufuatilia chanzo cha ajali. Majeruhi wamefikishwa Zahanati ya Mkalamo kwa matibabu


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad