Tafuta Hela Mtu Wangu Gari za V8 sio Gari za Serikali...Hata we Unaweza Kuwa Nayo


1.Tafuta hela hakuna mzee wa miaka 60.
2.Tafuta ela V8 sio gari za serikali.
3.Tafuta hela usiwe unalala na gesi chumba kimoja haupo ICU wewe.
4.Tafuta hela uache kusema weka chipsi za kushiba.
5.Tafuta hela weekend sio siku ya kufua.
6.Tafuta hela kuku ana vipande viwili tu.
7.Tafuta hela uache kununua nguo kwa kuinama.
8.Tafuta hela MB 500 sio za kutumia wiki nzima.
9.Tafuta hela uache kujitambulisha sana.
10.Tafuta hela huna ndugu wachache kihivyo.
11.Tafuta hela hakuna mwanamke anaechoka usiku.
12.Tafuta hela mwanamke hakai mbali na simu wewe.
13.Tafuta hela hata maharage yanapikiwa kwenye gesi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad