Takribani miili 20 ya watu imeopolewa kutoka Mtoni Nchini Kenya


Takribani miili 20 ya watu imeopolewa kutoka Mto Yala nchini Kenya siku za karibuni, kwa mujibu wa Haki Africa. Shirika hilo la utetezi wa haki za binadamu limesema baadhi ya miili hiyo ambayo hutupwa usiku ilikuwa kwenye mifuko, mingine imefungwa na mingine ikiwa na majeraha.

Hospitali ya jirani na eneo hilo imeeleza kwamba hupokea miili isiyo na wahusika, na hivyo kulazimika kuizika ili kutoa nafasi kuhifadhi miili mipya mochwari

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad