Tanzania yatajwa kama nchi bora zaidi kwa Utalii barani Afrika 2022

 


TheGrio ya Marekani waitaja nchi ya Tanzania kuwa miongoni mwanchi tano zinazofaa zaidi kwa utalii 2022 barani Africa wakati wa kipindi cha baridi,


TheGrio, Chaneli maarufu zaidi nchi Marekani wakitumia Mbuga ya Serengeti, bichi mbalimbali visiwani Zanzibar na makumbusho mbalimbali wameihakikishia Dunia kuwa Tanzania ni sehemu salama na inavutia zaidi Africa kwa Kutalii hasa wakati wa baridi,


TheGrio wamekanusha tishio la Usalama kwa watalii na kuihakikishia dunia kuwa Tanzania ni Salama zaidi kwa Utalii Barani Africa ikiwa ni pamoja na Morocco, Nigeria, Africa Kusini na Misri,Heko Rais Samia Suluhu kwa "Royal Tour "


TheGrio wameendelea kuwashawishi Wamarekani na nchi mbalimbali kuwa wafikapo Tanzania watakutana na Serengeti na wataona "The Big five " yaani tembo,twiga,Faru,Nyumbu,Simba na Duma,Hakika jina la Tanzania nje linang'aa Sana tuendelee kuchapa kazi,

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad