Web

Tanzia: Steve Moyo Mchongi Afariki Dunia

Top Post Ad



Taarifa za kuaminika zilizotufikia hivi punde zinasema, Mtangazaji nyota wa vipindi vya michezo kutoka kituo cha Redio Free Afrika, Steve Moyo Mchongi amefariki dunia jioni ya leo Alhamisi, Januari 13, 2022.

Ndugu wa karibu wa marehemu amethibitisha kutokea kwa msiba wa mtangazaji huyo nguli na kuahidi taarifa zaidi kutolewa baadae na familia.

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.