Kuanzia Mida ya saa 9 usiku wahusika wa uzimaji wa moto wamejitahidi kudhibiti moto ili usienee katika makazi ya wananchi na kutokana na miundombinu ya soko hilo ugumu ulionekana ingawa kazi kubwa imefanyika.
“Mpaka sasa hivi chanzo cha moto hakijajulikana ijapokuwa tunaambiwa ulianzia kwa mama lishe, ingawa pia tunaskia kuna wafanyabiashara walikua wanajiunganishia umeme kinyemela, lakini hatuwezi kusema kama ndio chanzo,”
VIDEO:Hali ya Soko ilivyokua wakati likiteketea usiku