TCRA imemuweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu mtangazaji wa Wasafi TV, Aaliyah


TCRA imemuweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu mtangazaji wa Wasafi TV, Aaliyah Mohamed na kipindi chake cha Refresh kwa kosa la kutumia maudhui yasiyofaa kwenye jamii. Pia, kituo hicho kimetakiwa kuomba radhi kwa siku tatu kwa kurusha maudhui hayo wakimhoji msanii Zuchu.  

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad