Tulipigwa..Rwanda Hakuna Pisi Kali..Tanzania Tunatisha Sana


Tumekuwa tukiambiwa kwamba Rwanda kuna pisi kali lakini kiukweli Tanzania kuna pisi kali sana kuliko nchi yoyote africa.

Wanaosema Tanzania hakuna pisi kali ni wale ambao hawana hela ila kama unahela utaungana na mimi kuthibitisha kwamba Tanzania kuna pisi kali sana.

Somalia, Ethiopia au Rwanda hazifui dafu kwa wanawake wa Tanzania kwa urembo na uzuri wa asili. Mfano nchi ya Rwanda, Wanyarwanda wachache sana ndio wazuri ila wengi waliobaki hawana maajabu ila Tanzania pisi nyingi zipo hot. In fact ninadiriki kusema kwamba kwa mujibu wa utafiti wangu, Tanzania kuna pisi kali sana kuliko nchi yoyote Africa.

By Hope Tyga

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad