Unaambiwa Hasara iliyotokana na Kuungua Solo la Karume ni Zaidi ya Shilingi Bilion 7




Mwenyekiti wa Kamati ya uchunguzi wa kuungua moto kwa Soko la Karume, Eng. Justin Lukaza amesema hasara iliyotokana na kuungua kwa soko hilo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 7.2 ambapo idadi ya Wafanyabiashara waliokumbwa na janga hilo ni 3,090.

Lukaza ametoa kauli hiyo leo Dar es salaam baada ya Kamati hiyo kukamilisha siku saba za uchunguzi ambao umebaini pia kuwa chanzo cha moto huo ni mshumaa uliokuwa unatumiwa na Mateja sokoni hapo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad