United Wakifeli TOP 4, Ronaldo Anaondoka



Inadaiwa kuwa wawakilishi wa Cristiano Ronaldo wamesema kuwa staa huyo Mreno ataondoka Manchester United mwishoni mwa msimu huu kama watashindwa kufuzu kucheza Champions League msimu ujao.

Timu ambazo zinakuwa na uhakika wa kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa England ni zile ambazo zinashika nafasi ya nne katika msimamo wa Premier League, labda kama watabeba ubingwa wa Champions League kisha wakashindwa kuingia katika nafasi nne za juu kwenye ligi.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad