Vikosi vya Zimamoto na Uokoaji Afrika Kusini vimesema vimefanikiwa kuudhibiti moto mkubwa ambao ulizuka katika Bunge la Afrika Kusini mjini Cape Town mapema leo leo Jumapili Januari 2, 2022 na kusababisha moshi mkubwa ambapo pia jengo zima lilikabiliwa na hatari ya kuteketea.