Wakazi Ahoji Kuhusu Adhabu ya TCRA Kwa Wasafi Media


Kutoka twitter ya rapper @wakazi ameibua hoja katika mtandao huo na kuhoji kuhusu namna ambavyo mamlaka ya mawasiliano TCRA imeweza kutoa adhabu kwa kituo cha habari Wasafi media kwa madai ya kutumia maudhui yasiyo faa.


Katika taarifa ya TCRA eeleza kumemuweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu mtangazaji wa Wasafi TV, Aaliyah Mohamed na kipindi chake cha Refresh kwa kosa la kutumia maudhui yasiyofaa kwenye jamii ,huku Pia, kituo hicho kimetakiwa kuomba radhi kwa siku tatu kwa kurusha maudhui hayo wakimhoji msanii Zuchu.

By Middle Simba

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad