Wema Sepetu Kakimbia Mjini Inasemekana Yupo Site, Asije Kuaibika Mjini


Kwasasa kumpata Wema sepetu ni kazi sana maana hashindi mjini kabisa, inasemekana anashinda site kwenye ujenzi wa nyumba yake.

Mwaka 2022 umeanza vizuri sana kwa wema sepetu, wakati wengine wakikuna vichwa kupata ada za watoto, yeye ndio kwanza anajenga.

Wema sepetu katisha sana, na huu uwe mfano kwa wasanii wote ndani na nje ya Tanzania maana wasanii huwa wanajisahau kabisa. Huwa hawakumbuki kujenga, wanazani umaarufu ndio kila kitu , harafu mwisho wa siku wanaaibika uzeeni.

Wasanii kumbukeni kujenga pia msisahau kujenga kwa wazazi wenu, maana usipojenga kuna siku isiyo na tarehe utakuja kuabika Instagram.

Kuna wasanii wakubwa, enzi za uhai wao tulijua wanamiliki pesa nyingi mno, lakini walivyofariki tu ndio tukagundua ukweli kumbe hata nyumba hawakuwa nazo, ingawa walidumu kwenye game kwa kipindi kirefu na walitambulika Ndani na nje ya Tanzania.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad