Afisa Habari Simba "Simba Msiwabuguzi Mashabiki wa Timu Zingine Wanakuja Kuangalia Wanavyokosa Kwao"


"Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru Mashabiki wote waliojitokeza Uwanjani kwenye mchezo wetu wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Asec Mimosas hapo jana, Simba inaamini ushindi wa jana umechagizwa na nguvu ya Mashabiki"

"Pia tunapenda kuwakumbusha Mashabiki wa Simba kutowabugudhi Mashabiki wa Timu nyingine pindi wanapokuja kwenye Mechi zetu, ukweli ni kwamba Mashabiki wa Timu nyingine wanakuja kwenye mechi zetu kufuata burudani ambayo hawaipati kwenye Timu zao ni vema kuwapokea na kuwapa mazingira mazuri ya kufurahia kabumbu safi kutoka Simba" ——— Idara ya Habari, Simba

DOWNLOAD HAPA BURE APP YA UDAKU SPECIAL KWENYE SIMU YAKO UPATE UHONDO ZAIDI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad