ALIYEKUWA mchezaji wa Kagera Sugar, Ally Mtoni “Sonso” Afariki Dunia


ALIYEKUWA mchezaji wa Kagera Sugar, Ally Mtoni “Sonso” (29) amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anapatiwa Matibabu leo Ijumaa, Februari 11, 2022.

Taarifa za awali zinasema kuwa, Sonso ambaye alikuwa beki wa kushoto akikuwa akiugua maradhi ya muda mrefu.

Kwa nyakati tofauti, Sonso amezitumika timu za Lipuli FC, Yanga SC, Kagera Sugar, Polisi Tanzania. Pia amewahi kucheza timu ya Taifa.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad