Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Hamad Masoud Hamad, leo ametangaza kujivua uanachama na kuachia nafasi zote za uongozi kwa kile alichosema haridhishwi na mwenendo wa demokrasia katika chama.