Kupitia InstaStory yake mwanamuziki @iamamberlulu amewashauri @_kusah_ na @iamrubyafrica kumaliza tofauti zao ambazo zipo kwani wao ni wazazi
AmberLulu ameandika "Kusah na Ruby mmalizane tu nyinyi ni wazazi visirani gani visivyoisha?"
Ujumbe huo wa Amberlulu umekuja masaa machache baada ya Ruby kuanika mambo mengi aliyoyapitia wakati yupo kwenye mahusiano na baba mtoto wake @_kusah_
Nini maoni yako?