Raymond Mollel amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua Mlinzi mwenzake kwa kumchinja na kuondoka na kichwa chake bila kuiba kitu eneo la tukio
Mtuhumiwa amekiri kuhusika na mauaji na kuonesha alipoficha kichwa. Raymond na Marehemu walikuwa walinzi wa Meya wa Arusha, Maxmillian Iranghe