On trending' now ni kuhusu kutoweka kwa mfanya biashara na mwanamitandao #aristote katika mtandao wa Instagram saa chache baada ya kumumba msamaha mrembo @wemasepetu kufuatia kauli zake zilizotajwa kumuumiza muigizaji na miss tanzania wa 2006.
Kwa sasa ukiitafuta account ya mfanya biashara huyo katika mtandao wa Instagram huwezi kuion tena baada ya kujitoa katika mtandao huo.
Huenda uamuzi huo wa Aristote umekuja baada ya kupokea jumbe na Maoni mbalimbali ya kumpinga kwa kitendo chake hicho, licha ya kuomba msamaha.