Asilimia 85 ya Waafrika Bado Hawajapata Hata Dozi Moja ya Chanjo



Namna Bara la Afrika linavyokabiliana na janga hilo imetajwa kubadilika, lakini kasi zaidi katika zoezi la utoaji Chanjo inahitajika ili kudhibiti maambukizi. Imeelezwa, 85% ya Waafrika bado hawajapata hata dozi moja ya Chanjo

Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Barani humo, Dkt. Matshidiso Moeti amesema idadi ya kutosha ya dozi za Chanjo ipo, na jitihada sasa inapaswa kuwa kwenye kuhamasisha watu kuchanjwa

Shirika hilo linakadiria idadi ya maambukizi inaweza kuwa kubwa mara saba ya Takwimu rasmi zinavyoonesha, huku Vifo vikiwa mara mbili au tatu zaidi


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad