Bibi ajitolea kupambana na Urusi



KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, bibi mmoja aliyefahamika kwa jina la Valentyna Konstantynovska (79) raia wa Ukraine amejitokeza kupata mafunzo ya kijeshi ili kukabiliana na vikosi vya Urusi.

Mafunzo hayo yalitolewa kwa raia na kikosi maalumu cha Walinzi wa Taifa la Ukraine katika mji wa Mariupol Jumapili iliyopita.

Akihojiwa wakati wa mafunzo hayo, Bi. Konstantynovska amesema yuko tayari kuilinda nchi yake na familia yake dhidi ya vikosi vya Urusi kwani anaipenda sana nchi yake na yuko tayari kuilinda hadi mwisho na kamwe hatokubali kuiacha.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad