Chanzo kifo cha Ally Sonso: Mechi za Yanga na Simba zatajwa



”Kwa mara ya mwisho Ally Mtoni Sonso alicheza mchezo kati yetu na Yanga SC katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Novemba 13. Mguu wake wa kushoto ulianza kumletea shida Novemba 19.”- Afisa Habari wa Ruvu Shooting Masau Bwire akielezea kuhusu kifo cha mchezaji wao Ally Sonso.

”Alipangwa mchezo uliyofuata ulikuwa dhidi ya  Simba SC, kwnye saa 7, alirudi kwa mwalimu na Daktari kuwaleza kwamba maumivu yake bado hayajatulia na kwamba anaona kama Mguu unaanza kuvimba.”- Masau Bwire

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad