Ameeleza Hana Muda Wala Mpango Tena Wa Kusainiwa Katika Label Yoyote Kwa Sasa Katika Maisha Yake, #WIZZY Ameyasema Hayo Katika Interview Na #Xxl Ya Clouds Fm
#WIZZY Amefunguka......."Kitu Ambacho Sintokuja Kukifanya Ni Kuhakikisha Kwamba Vision (Maono) Yangu Niiangalie Sana Na Kuiendeshe Vile Ambavyo Nilitaka Kuiendesha, Nimekuja Kujua Vision Yangu Inatakiwa Iendeshwe Na Dereva Ambaye Anaijua Nikimaanisha Mimi''
"Kwangu Mimi Kwa Sasa Haita Wezekana Kuwekwa Kwenye Label Ya Mtu Yoyote Ndio Maana Nikasema Ndio Maana Nikasema Naangalia Vision Yangu, Ndhani Nikiwa Mwenyewe Inakua Bora Zaidi Kuliko Kuwa Na Mtu Yoyote Kwasababu Vision Yangu Ni Kubwa Sana Kiasi Kwamba Haiitaji Mtu Yoyote Kuja Kunisaidia"