Diva Love Amkingia Kifua Menina "Menina Amepoteza Mume na Mtoto Muoneeni Huruma"


Morning Guys.
Jana Nimefanya Segment Ya A2Z Na @meninaalegria kwenye Kipindi Cha #LAVIDAVI , Menina amepoteza Mume na Mtoto , but she has a life to live sababu yuko independent ana Mama na wadogo na Mtoto anaemtegemea , tujitahidi sana Kuwa na Utu na Busara hasa kwa nyie mnao comment , Bullying is something ambayo kila siku tunapigia kelele, Be nice and kind to People no one knows what watu wanapitia, hata hao mnaona role model wanapitia mambo magumu sana and Yes wanawake Tabasamu usoni na kuumia moyoni.
tuwe na roho za ubinadamu ata watu maarufu Pia ni watu Jaman, acheni comment za ajabu ajabu Muwe mnamuogopa Mungu kuweni na Roho kama ambazo mnaonyesha kwa dada zenu kaka zenu na ndugu zenu uko Majumbani. Hivi huwa hamuoni aibu au kujisikia vibaya mkiwa mnaandika Comment za ovyo? wengine wanaandika ni wanawake hivi nyie wanawake wa hivi mnakuwa very comfortable sio? hujafa hujaumbika ndio maana Mungu anawalipia kwa njia either Rizk zenu kuwa ngumu au kutofanikiwa mambo yenu toeni vibanzi hivyo .. very sad yan badilikeni aisee not funny anymore!.
Menina Thanks for telling yo side of the story Mpz, Mungu akuongoze ktk kazi zako!. Inshallah Amin

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad