Dkt. Tulia Ackson Amesema Kuwa Wabunge 19 wa Viti Maalum wa CHADEMA ni Halali


Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa Wabunge 19 wa Viti Maalum wa CHADEMA ni halali, kwani wangekuwa haramu wasingekuwepo bungeni. Amesema bunge likipewa taarifa rasmi kuwa wamefukuzwa uanachama, watakoma kuwa wabunge, kwani mbunge sharti awe mwanachama wa chama cha siasa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad