Dulla Makabila Alalamika Haji Manara Kumrubuni na Kumpeleka Simba, Amtaka Amrejeshe Yanga


Dulla makabila ameandika haya:

''YAH : MALALAMIKO @hajismanara Nashukuru Sana Kwa Kuniponza Umekuja Ukanichukua Vizuri Kwa Wananchi Nikarekodi Ukalipia Hela Ya Studio Na Ukanifanyisha Wimbo Wa Simba Kumbe Ulikuwa Na Mipango Yako 😢

Kwa Kifupi Umeninunua Na Mkataba Wetu Leo Ndo Umeisha Cm Zangu Haupokei kama Hauwezi Kurenew Mkataba Naomba Unirudishe Nilipokuwa Maana Naona Mwenzangu Unanenepa Na Kuchekacheka Kwenye Makochi Ya #GSM Mimi Nakonda Na Kunyauka 😭😭

Kama Ulivyoniapiza Kwenye interview tuliyofanya , Naomba Unirudishe Tena Vile Vile 😭😭😭

WANANCHI MANARA ALINILUBUNI NAOMBA MNISAIDIE NIFURAHIE TENA MAISHA YA SOCCER. 🙏🏽🙏🏽😭😭😭😭'' @dullamakabila


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad