Eminem, Dr Dree, Snoppy Dog, 50 Cent Wameua Sana Fainali Super Bowl



Mwishoni mwa Weekend iliyopita, imekuwa weekend flani hivi nzitoo ya kujiacha bata la pesa nyingii kwa Wamarekani...

Kwa sababu tu Wamarekani na dunia ilikuwa inashuhudia fainali ya American football league 2022 Yani (Super Bowl), ikiwa ni hitimisho la msimu uliopita 2021, kati ya The Los Angeles Rams ya Los Angeles dhidi ya Cincinnati Bengals ya Ohio, ikiwa Rams waliibuka mabingwa wa fainali hiyo, Kwa ushindi wa 23 - 20.

Kipute kilichopigwa Katika dimba la SoFi Stadium Mjini Inglewood California, Katika Jimbo la Los Angeles, Jumapili ya jana kuamkia Jumatatu ya leo.

Wameshuhudiwa nyota mbalimbali wakionekana kwenye fainali hizo, kama vile couple ya Beyonce & Jay Z, Cardi B & Offset's, mastaaa wengine ni Usher, YE, Ludacris, Nelly na Jacky Harlow.

Wakati upande wa performance (Super Bowl Halftime show) wameshuhudiwa wasanii kama vile Mary J Blige, Kendrick Lamar, Dr Dre, Snoop Dogg, Eminem, & Jhene Aiko...

Je, uliishuhudia fainali ya Super Bowl...? Ni show ya msanii gani ilikukosha zaidi?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad