ESMA Awapiga na Kitu Kizito Kichwani Marafiki zake Ambao Hawakumposti Siku ya Birthday yake


ESMA Platnumz ni mwanamama mjasiriamali ambaye ni dada wa supastaa wa muziki Tanzania,
Diamond Platnumz; wikiendi iliyopita alikuwa na shughuli ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa birthday ambapo amewapiga na kitu kizito wale wote ambao hawakumposti na kumtakia heri.

Anawashukuru waliofanya hivyo na kuwachamba wale ambao hawakufanya hivyo kwa kuona
kuwa, watachafua peji zao za Instagram.

Amesema; “Asanteni kwa wote mlioniwish birthday yangu katika pages zenu, Mungu awabariki mwaka huu uwe wa mafanikio. Na wale wasioniwish birthday kwa kuogopa mtachafua pageszenu, mimi niliwawish katika page yangu niwatakie kila la heri mwaka huu wa 2022 inshallah. Mungu atubariki sote...”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad