H Baba Achanganya Mashabiki Kwa Kupost Show ya Harmonize



Siku chache baada ya kutangaza kuamua kumsapoti mwanamuziki @diamondplatnumz mwanamuziki mkongwe anaeiwakilisha mwanza @h.baba_ ameonekana kuwachanganya mashabiki baada ya leo kuamua kuShare post kuhusu show za mwanamuziki aliyekua akimsapoti awali @harmonize_tz na baadhi ya matukio kumuhusu.

Mbali na hilo @h.baba_ pia amebadili profile picture kutoka ya @diamondplatnumz ile aliyoiweka siku chache nyuma na kuweka picha ya @harmonize_tz .

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. H-BABA UNAZINGUA,MSHAMBA ANGALIA HIYO MIWANI HAIKUPENDEZI

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad