H Baba Afunguka Kulipiwa Kodi na Harmonize "Sijawahi Lipiwa Kodi na Mtu"


“Mimi naishi Mwanza na ni mfanyabiashara na nimejijengea misingi mizuri ambayo inanifanya nisigonge hodi na hiyo sio tabia yetu Wasukuma kuomba.

Mimi ni mtoto wa pekee kwetu hivyo lazima nipambane kwa ajili ya familia yangu na umaarufu wangu ninao toka nikiwa na miaka sita nashangaa sana kuona mtu ananyanyuka na kuniongelea ilihali hanijui hata kidogo kwamba nimeomba hela ya kodi nikapewa million mbili sasa hiyo million mbili naweza kupata nyumba mjini ila nabaki namuangalia tu” H Baba

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad