H BABA amchana MWIJAKU na kuandika haya ''Mwambie Boss wako akutume vizuri''

 


H BABA amchana MWIJAKU na kuandika haya ''Mwambie Boss wako akutume vizuri''

Ameandika Haya H - Baba:

Poleni saana mazoezi ya gym hayafanywi hivi @mwijaku_01 Endelea kutumwa nakutumia sauti za mtu mwingine unawaaminisha watu ni @h.baba_ mmetafuta mtu aigize sauti yangu nishasema ntaongea mbona mnaanza kuharisha tena wakati Ata sijaongea kitu. Mwambie boss wako akutume vizuri mimi ntaongea tuu.... Msiharisheee tulieni...

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad