H-Baba Ashindwa Kujizuia Ampa Tano Diamond Kwa Perfomance Kali Grammy "Sikukubali Ila Umeua"


Ni perfomance ya star wa muziki nchini @diamondplatnumz kwenye new digital performance series ya "Global spin" iliyoandaliwa na GRAMMY @recordingacademy 'ambapo watu mbalimbali nchini wameendelea kutoa pongezi kwa Hitmaker huyo wa ngoma ya Unachezaje.


Na moja kati ya watu hao ambao wametumia kurasa zao za mitandao ya kijamii kutoa pongezi ni pamoja na mwanamuziki wa muda mrefu kwenye Bongofleva @h.baba_ ambae ameshare video clip ya performance ya @diamondplatnumz na kuandika;

“Japo Sikukubali ila Kwa Hili Umeuwaaaaaa Umeuwaaaa”


Ikumbukwe kuwa H.baba amekua mwanamuziki ambae anampinga na kumkosoa mara kwa mara @diamondplatnumz haswa katika kazi zake za muziki na hata maisha binafsi ya nyota huyo kwa sababu mbalimbali.

C©✍🏾@keviiiy.iam


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad