H-Baba Ume Unfollow Bosi Wake Harmonize...Aamua Kumfollow Diamond Platnumz na Kusema Haya


Kutoka Instagram page ya mwanamuziki @h.baba_ ,anazikamata headlines mara baada ya uamuzi wake wa kutembeza unfollow/ kumfuta urafiki mwanamuziki @harmonize_tz katika ukurasa wake rasmi wa Instagram, na kuamua kumfollow CEO wa WcB wasafi @diamondplatnumz pekee.


Mbali na kuchukua hatua hiyo pia mwanamuziki huyo mkongwe kwenye game ya bongofleva, ameamua kuweka wazi hisia zake za kuamua kum-post @diamondplatnumz kwa kueleza kuwa amefanya hivyo bila kushawishiwa na mtu yoyote, na yeye si chawa bali ni shabiki mkubwa hivyo akikubali kitu hujitoa kufa na kupona.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad