Haji Manara na Hassan Bumbuli wamepigwa faini ya Tsh 500,000 Kisa Marefu


Viongozi wa idara ya habari Yanga SC Haji Manara na Hassan Bumbuli wamepigwa faini ya Tsh 500,000 kila mmoja kwa kosa la kuwashutumu Waamuzi wa Ligi Kuu ya NBC kuwa wameongeza muda zaidi katika mechi za Simba SC kuliko za Yanga.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad