Hofu ya Wahalifu Kuamia Daraja la Tanzanite...Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Afunguka


"Wananchi wengi sana wanakwenda kwenye Daraja lile la Tanzanite wakiwa na lengo la kuangalia ule muonekano mzuri wa Baharini lakini pia kupitia kwenye Daraja, uwepo wa Askari Polisi maeneo yale ni suala muhimu ambalo litazuia Wahalifu kufanya uhalifu"

"Tunakumbuka kulikuwa na Daraja la Selandar na wote mnakumbuka matukio yaliyokuwa yanatokea siku za nyuma, Polisi tunachukua tahadhari kwamba Wahalifu wasihamie Daraja la Tanzanite, usalama umeimarishwa na tutahakikisha Watu wanafurahia kupita kwenye Daraja lile" Muliro Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad