Juma Jux "Sikuwahi Kumfollow Harmonize Katika Mtandao wa Instagram"


Ni kutoka kwawanamuziki @juma_jux, ambae ameweka wazi kuwa hakuwahi kumfollow mwanamuziki mwenzake @harmonize_tz katika mitandao wa Instagram, baada kuwepo kwa taarifa za CEO huyo wa Adrian boy' kumpiga Unfollow Harmonize baada ya sintofahamu kuhusu show yake ya AfroEast Carnival.

Mbali na hilo pia mkali huyo anaefanya poa kwa sasa na wimbo wake wa 'i Love You' kupitia refresh ya Wasafi tv' amedai kuwa hata mwanamuziki @diamondplatnumz amemfollow sikuhiz za hivi karibuni, kiasi cha mwezi mmoja uliopita.

Tembelea youtube channel yetu ya Middle Simba kwa taarifa nyingi zaidi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad