Mtoto anaiba, Baba yake anaambiwa alipe Milioni 80 ili kumwachia mtoto wake. Baba anauza ng'ombe wake wote kulipa pesa ile. Wakiwa njiani kurudi nyumbani, Baba alimwambia mtoto wake: Nisikuone tena ukiiba, vinginevyo nitachoma moto mikono yako, kwa ajili yako tumekuwa maskini. Mtoto anajibu kwa tabasamu: Usilie, Baba, Pesa uliyolipa, hii hapa, Nimeiba kwenye droo ya Polisi kabla ya kutoka nje.*
*MASWALI:*
Ikiwa wewe ndiye baba wa mtoto huyu, utafanya nini?
1 . utamwadhibu?
2 . utamrudisha jela?
3 . utampongeza? au
4. utarudisha pesa?
*Sema kwa uaminifu kile utakachofanya.*
😂😂🙏🙏