Kanye West Alalamika Mwanae Kuwekwa Tik Tok na Kim Kardashian


Rapa Kanye West “Ye” ameibua malalamiko baada ya video ya mwanae North West kuwekwa katika mtandao wa Tiktok.


Kupitia ukurasa wake wa instagram Kanye West ameandika
“Kwa kuwa hii ni talaka yangu ya kwanza natamani kujua natakiwa kufanya nini baada ya mwanangu kuwekwa kwenye mtandao wa Tiktok kinyume na matakwa yangu”


Unadhani Kanye West anatakiwa kufanya nini!??


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad