Kanye West Amjibu Kim Kardashian " Unaamanisha Nini Unaposema Mtoa Huduma Mkuu"



Ameandika haya Kanye West:

What do you mean by main provider ? America saw you try to kid nap my daughter on her birthday by not providing the address You put security on me inside of the house to play with my son then accused me of stealing I had to take a drug test after Chicago’s party cause you accused me of being on drugs Tracy Romulus stop manipulating Kim to be this way…


"Unaamanisha Nini Unaposema Mtoa Huduma Mkuu...?
Marekani Iliona jinsi ulivyotaka kumteka mwanangu kwa kugoma kuniambia mahali ambapo birthday Party inafanyika. Uliniwekea walinzi wasiniruhusu kuingia ndani kucheza na mtoto wangu na Kisha Kunituhumu kuwa ni mwizi. Ilinibidi nichukue vipimo vya madawa baada ya kutoka kwenye Party ya Chicago Kwasababu Pia Ulinituhumu Kuwa Nimtumiaji Wa Madawa, Trace Romulus Acha Kumpelekesha Kim Kuniletea Visa Vya Ajabu Kiasi Hiki"


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad