Kim Kardashian Amjibu Kanye West "Kama Mzazi Ninayetoa Kila Kitu Nina Haki ya Kukuza Kipaji Chake"


Baada ya aliyekuwa mume wake (Kanye West) kumshambulia kwenye mitandao hasa juu ya malezi ya mtoto wao North West, Mwanadada Kim Kardashian ameamua kumjibu Kanye West.

Kupitia insta-story yake Kim Kardashian ameeleza kuwa talaka ina mambo mengi hasa linapokuja swala la malezi kwa watoto

“Kanye West amekuwa akinishambulia sana kwenye mahojiano yake mbalimbali katika mitandao hii inaumiza kuliko

Kama mzazi ambaye ndio mtoaji mkuu wa kila kitu kwa mtoto najitahidi kufanya kila lililo ndani ya uwezo wangu kumlinda North na kumuacha akuze vipaji vyake kwa namna itayompa furaha” Kim Kardashian




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad