Muna Love Aijutia Surgery Aliyoifanya Adai Kuwa Kuna Vitu Vingi Anapitia na Hivyo Kuwaomba Watu Wasifanye
"Achananeni Na Surgery, Msifanye Ntakuja Kuwaeleza Vitu Vingi Nnavyopitia, Nampenda Sana Yesu" - Muna Love
Hii Yote Ni Baada Ya Kufanya Surgery (Upasuaji) Mwaka Jana, Surgery Ya Dimpoz Na Umbile na Sasa Kupelekea Kupitia Wakati Mgumu Baada Ya Surgery Hiyo