Klabu ya Chelsea ya England imeibuka mabingwa wa klabu bingwa ya Dunia



(FIFAClubWorldCup) kwa mara ya kwanza baada ya kuifunga klabu ya Palmeiras ya Brazil magoli 2-1 kwenye fainali iliyopigwa kwa dakika 120.
Pia Chelsea imekuwa timu ya 3 kutoka England kuchukua ubingwa wa Dunia zingine ni Liverpool na Manchester United.

Magoli ya Chelsea yalifungwa na Romelu Lukaku na Kai Harvertz kwa panati huku lile la Palmeiras likifungwa na Raphael Veiga kwa penati.

Beki wa Chelsea Thiago Silva ndio alitangazwa kuwa mchezaji bora wa mechi ya fainali pamoja na mashindano kwa ujumla.
 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad